MAKALA YA MH. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI…
1.TAARIFA BINAFSI:
Anaitwa JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI alizaliwa mwaka 1959/29/october katika wilaya ya Chato-mkoani Geita, Tanzania. Anaumri (69)… Amefariki 17/03/2021…
Mke wake anaitwa janneth magufuli na ana watoto wawili mmoja anaitwa joseph magufuli wa pili anaitwa jessica magufuli…
2.TAARIFA ZA ELIMU:
Alisoma shule ya msingi chato mwaka 1967 mpaka 1974
Elimu yake ya sekondari Alisoma mwaka 1975-1977 ktika shule ya KATOKE SEMINARY IN BIHARAMULO…
Mwaka 1979-1981 alisoma elimu yake ya advance katika shule ya secondary mkwawa iliyopo iringa…
Baada ya maisha yake ya elimu ya shule kufika tamati alijiunga na elimu ya juu mwaka 1981 katika Chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM) katika college of education In Educatiion science, majoring in Chemistry, mathematics and education in campus ya iringa (MKWAWA)…
Mwaka 1988 alijiunga tena baada ya kutoka kufundisha katika shule ya msingi chato akaongeza elimu yake kwenda juu zaidi ambayo level iyo iliitwa MASTERS DEGREES IN CHEMISTRY IN UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM… IN 1994-2009…
MWAKA 2019 alijiunga chuo kikuu cha dodoma (UDOM) KUSOMEA IMPROVING THE ECONOMY OF THE COUNTRY…
3.TAARIFA ZA KIKAZI:
Mwaka 1983 alijiunga na jeshi la taifa baada ya elimu yake kuanzia july 1983 mpaka june 1984…
Mwaka 1982-1983 alifundisha shule ya secondari sengerema alifundisha somo la mathematics na chemistry…
4.MAISHA YA SIASA:
ALICHAGULIWA NA WANANCHI WA CHATO…
Mwaka 1989 1995 alichaguliwa moja ya wawakilishi wa wananchi katika bunge la Tanzania yaani MBUNGE w CHATO.
ALICHAGULIWA NA MH: MWINYI.
Mwaka 1995-2000 Alichaguliwa kuwa makamu wa waziri katika sector ya kazi… (NAIBU WAZIRI WA KAZI NA MAENDELEO).
ALICHAGULIWA NA HAYATI MH: MKAPA.
Mwaka 2000-2006 alichaguliwa kuwa WAZIRI WA KAZI NA MAENDELEO YA JAMII.
ALICHAGULIWA NA MH: JAKAYA MRISHO KIKWETE.
Mwaka 2006-2008 alichaguliwa kuwa WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA JAMII.
Mwaka 2008-2010 alichaguliwa kuwa WAZIRI WA UVUVI.
Mwaka 2010-2015 alirudi tena kuwa WAZIRI WA KAZI.
Mwaka 2015 aligombea Uraisi kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (ccm)…na kushinda nafasi iyo na kuwa Raisi wa Awamu Ya Tano Baada Ya KIjiti Iko Kuachwa na MH. Jakaya Mrisho Kikwete…
Baada ya kuwashinda wapinzani wake akiwemo mh: edward lowasa…ambapo alishinda kwa asilimia 58% katika uchaguzi wa 29/10/2015…
Mwaka 2019 alihamishia makao makuu ya nchi kueleka katika JIJI LA DODOMA…
Mwaka 2019-2020 alichaguiwa kuwa mwenyekiti wa jumuiya ya kusini mwa afrika yaani (SADC).
Mwaka 2020 uchaguzi wa awamu ya pili ulifanyika ambapo alishinda kwa ailimia 79% ambapo alipaswa aendelee na nafasi hiyo mpaka mwaka 2025…
5.TUZO ALIZOTUNUKIWA:
Tuzo ni 62 alizotunukiwa na Tuzo ya mwisho ni ya mwaka 2020 katika kanisa la Assemblies of God…
15/08/2020 sababu ni kuishinda vita na gonjwa la covid 19…
Kauli mbiu zake:
Ujenzi wa barabara
Vituo vya afya
Haki za binadamu
Kuheshimu sehemu za Dini
Gonjwa la COVID 19.
>Alipinga suala la rushwa kwa viongozi wa kiserikali na kulikemea kabisa katika kila nyanja ya kiserikali…
>Aliwekeza nguvu nyingi katika uchumi wa viwanda haswa kwa kujenga na kutengeneza na kuboresha vile viwanda duni kuwa hai…
>alihimiza amani na mshikamano kwa wananchi wake.
HISTORIA YA TANZANIA
UENDO
Historia ya zanzibar
UKOLONI
Mgawanyo wa afrika.
Afrika mashariki ya kijerumani.
Mkataba wa zanzibar-helgoland treaty
Mkwawa
Vita vya maji maji
Vita vikuu vya kwanza afrika mashariki
Tanganyika
UHURU
Sultani wa zanzibar
Mapinduzi zanzibar
Muungano wa tanganyika na zanzibar
Julius nyerere
Ujamaa
Tamko la arusha
Vita vya kagera
Ali hassan mwinyi
Benjamini mkapa
Jakaya kikwete
John magufuri.
(Kigezo Data99).
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE…
IMEANDALIWA NA STEPHANO STEPHANO (ben alfa tz)buza,Dar es salaam(Tanzania).
Mawasiliano
0715445212/0629909737…
Mitandao ya kijamii..
Facebook (stepha tz).
Instagram (stepha-tz)
Email (sstephano908@gmail.com)…
0 Maoni