Je wajua ni fursa ipi waweza ifanya bila kuathiri ratiba zako na bado ukaingiza pesa?


 Kampuni ya *BF SUMA* ni kampuni ya kimarekani inayojihusisha na *Utafiti,uzalishaji na usambazaji wa bidhaa za chakula lishe duniani* 

 *0719197319* / *0763132806** 


 *BF SUMA* ni kifupi cha maneno yafuatayo ;


 *BFSUMA NI👇* 

B- BRIGHT

F- FUTURE

S- SUPERIOR 

U- UNIQUE 

M- MANUFACTURE OF 

A- AMERICA.


 *KWA KISWAHILI👇* 

Ni kesho inayong''aa kutokana na watengenezaji wa kipekee wa Marekani


Kwa nini ni wa kipekee??

Hii ni kutokana na ubora wa bidhaa zake na masharti nafuu KTK kupata bidhaa.

Mtu yoyote anaweza kutumia bidhaa za kampuni hii na kupata matokeo chanya.


Kwa nini kesho inayong'aa???


Hii ni kutokana na mfumo wa biashara ulovyowekwa na kampuni na kuwezesha muuzaji kujipatia faida zaidi ya 7 hivyo kuwa na maisha angavu/ yanayong'aa kwa 

kuwa na kipato endelevu,

Tutaona huko mbele👉


 *ILIANZA LINI?* 

Ilianza mwaka 1993 huko  *Marekani* 


 *HAPA TANZANIA ILIFIKA LINI??* 

Hapa Tanzania ilifika 2012 leo miaka 8 lakini tutaona namna watu walivyobadili maisha kwa maiaka 5 tu

 

 *OFISI AFRIKA ZIKO WAPI?* 

Ofisi Afrika zipo GHANA,CHAD,KENYA,

NIGERIA,UGANDA,

NAMIBIA,ZIMBABWE, AFRIKA YA KUSINI,

CONGO,ZAMBIA,MALAWI SUDAN NA HAPA TANZANIA


 *OFISI ZA BF SUMA TANZANIA ZIPO WAPI?* 

Hapa Tanzania ofisi zipo Dar es salaam ( mlimani city ndio makao makuu ya kampuni ) 

Ubungo, Mbeya, Iringa, Dodoma, Arusha, Tabora, Manyoni, Shinyanga, Kahama, Bukoba,Mwanza na Ngara


Kampuni ina malengo makubwa mawili


 *1.Kuboresha uchumi na kuwa na kipato endelevu* 


2. *Kuboresha afya* 

Kwa nini afya? Kwa sababu palipo na uzima yote huwezekana, huwezi ukawa na pesa huku uko unaumwa au ukawa mzima pesa huna dunia ya sasa ukiwa na pesa,afya na Mungu ,hakika wewe ni mfalme duniani.

Hiyo ndiyo maana fupi ya kampuni yetu ya *BFSUMA*.


*JE UNATAKA KUJUA NAMNA GANI KAMPUNI INAJIHUSISHA NA AFYA NA KUINUA VIPATO VYA WATU...? ENDELEA KUFUATILIA SOMO HILI HAPO CHINI*

Kwa upande wa Afya Kampuni ya *BF SUMA* inazalisha *virutubisho lishe (Food Supplement)* kwa ajili ya kuzuia na kutibu Maradhi tofauti tofauti ndani ya Mwili wa Mwanadamu ;


*MIFUMO YA MWILI AMBAYO KAMPUNI INAZALISHA VIRUTUBISHO*


*🔘*  *MFUMO WA MIFUPA NA JOINTS*

Hapa huzalisha VIRUTUBISHO  vinavyohusika na kuhakikisha Mifupa inakuwa katika hali nzuri wakati wote yaani kuzuia na kutibu Maumivu ya mifupa,kiuno,mgongo na kwenye Joints.


🔘 *MFUMO WA UZAZI*

Hapa kampuni inazalisha bidhaa ambazo zitamsaidia *Mwanaume* Na *Mwanamke* katika mfumo mzima wa uzazi 

Kwa upande wa Mwanaume inamsaidia kuepukana na maradhi tofauti tofauti kwenye uzazi kama vile nguvu za kiume,Ngiri,Tezi dume na kwa upande wa Mwanamke hapa kampuni imejikita katika kuzalisha bidhaa ambazo zitamsaidia kuponywa na kuzuia U.T.I sugu, Fungas,Harufu,Miwasho 


🔘 *MFUMO WA KINGA ZA MWILI*

Hapa kampuni imejikita kuzalisha bidhaa ambazo zinaenda kuongeza na kuzipa nguvu kinga za mwili 


🔘 *MFUMO WA USAFI* 

Hapa kampuni inajihusisha na uzalishaji wa bidhaa zitakazo kufanya uonekane katika uasilia wako hususani katika ngozi na kinywa.


Pia Mifumo Mingine ambayo kampuni inazalisha bidhaa ni 


➡ *MFUMO WA MMENGENYO WA CHAKULA*


➡ *MFUMO WA DAMU NA UBONGO*


Hizo hapo juu ni Baadhi ya Mifumo ambayo kampuni inazalisha hapa ni katika Kipengele cha Afya.


 Kwa upande wa *KIPATO* Kampuni inahitaji *Mawakala* ambao watakuwa wanafanya kazi pamoja na Kampuni.


*WAKALA ATAPATA FAIDA ZIFUATAZO*


➡ *FAIDA ZA REJA REJA ZOTE NI ZAKE*


➡ *MALIPO YA KILA MWISHO WA MWEZI KULINGA NA KAZI YAKE KUTOKA KWENYE KAMPUNI*


➡ *ZAWADI ZA KILA MWAKA KAMA*


*#* Safari za kwenda Marekani,China,Dubai na kwingine kwingi kujifunza na kutalii.


*#* Magari (Kwa Tanzania sasa imekwisha Toa magari 22 kwa washindi.



*#* Nyumba (Nyumba hutolewa ukifika ngazi ya 11 na 12 kwa sababu kampuni ina vyeo vyake 12 kwa mawakala wake)


Pia kuna promotion mbalimbali zinazotolewa ndani ya kampuni.


Licha ya hivyo kampuni inatoa Mafunzo bure kwa kila wakala wake.


 *Malipo* 

*JE HAYA MALIPO YANATOKEA WAPI...?*


Katika kila bidhaa ambayo kampuni inazalisha, kampuni imeweka *POINTS* . Hizi points ndizo zinazo tumika kuhesabiwa kila mwisho wa mwezi na mwaka ili mtu aweze lipwa na kampuni pia uweze pata zawadi za kila mwisho wa mwaka.


Hivyo basi kampuni kwa kuthamini Mawakala wake ikaonelea vyema ili kila wakala alipwe pesa nyingi ikaruhusu wakala kutafuta mawakala wengine watano watakao jiunga kwa jina lake ambapo sasa huyu aliyetafuta mawakala hao watano naye atakuwa anapata *FAIDA* kutoka kwa wale mawakala kwa mfano wewe umefanya points 100 kwa mwezi na wale wengine wamefanya points 100 kila mmoja kwa maana kuwa wale watano kwa pamoja watakuwa wamezalisha points 500 ukijumlisha na za kwako zitakuwa points 600 hivyo basi kwa mwezi husika hutolipwa kwa pointi 100 ulizo Fanya Bali utalipwa kwa points 600 ukijumlisha na za wale mawakala uliowafanya wawepo kwenye kampuni vivyo hivyo zawadi za kila mwaka pia zinatolewa kulingana na points ambazo umezifanya wewe na mawakala uliowaleta ndani ya kampuni na mawakala walioletwa na mawakala uliowaleta. Hivyo basi unapokuwa na points nyingi kila mwisho wa mwezi ndivyo *MALIPO* yako yanavyokuwa makubwa zaidi.


*KUMBUKA*

POINTS ZINAPATIKA KWA KUNUNUA BIDHAA NDANI YA KAMPUNI AMBAZO ZAWEZA KUWA  KWA MATUMIZI YAKO MWENYEWE AU KWA KUUZA


*UNAWEZAJE KUWA WAKALA...?*

Mtu yeyote anaweza kuwa wakala kama anamtaji wa kuanzia shilingi *46,000/=,* tu kwa mtaji huo Wakala mpya atapewa vitendea kazi pamoja na bidhaa za kuanzia kulingana na mtaji ulianzia.


 *Faida* 

Faida za kujiunga na kuanza biashara na kampuni ya BF SUMA. 


 *1. FAIDA YA REJA REJA* 

kampuni inakuwezesha kujipatia kiapo kutokana na mauzo ya bidhaa unazofanya! Yaan kampuni imepunguza bei Kwa 20% so unanunua Kwa bei ya chini na kuuza Kwa bei ya faida. 



 *2. BONUS ZA KILA MWEZI* .

Kila mwisho Wa mwezi kampuni inakupatia bonus za aina ZAIDI ya NNE! 

*Mmoja* Bonus ya utendaji, bonus hii inatokana na utendaji wako wewe mwenyewe, yaan ukinunua kitu chochote points zako zinarekodiwa, points hizo zitakuwezesha kupata hiyo bonus kuanzia 5%-28% kutokana na level uliokuwepo. 


*Mbili* Bonus kutokana na mauzo ya team, hapa kampuni inakupa kutokana na namna team ambavyo imefanya mauzo, na hapa napo NI kuanzia 5%-28% kulingana na watu Wa chini jinsi walivyo. 


*Tatu* Bonus ya uongozi, hii unaipata baada ya kufika katika ngazi ya leadership. Yaan baada ya kufika leader kampuni inakupa 5%-25% ya mauzo ya team. 


*Nne* Bonus ya kuwaleta watu kwenye kampuni. Hapa kila MTU utajayemleta kwenye kampuni unapata 6.5% ya mauzo atakayofanya yeye na team yake yoote baada ya yeye kufika leader. 


*Tano* Gawio LA faida ya ulimwengu. Hapa kampuni inakupa kuanzia 0.75%-3% ya faida ya mauzo yoote yaliyofanyika katika kampuni ya BF SUMA. 


*PIA KUNA CASH SUPPORT KUTOKANA NA LEVEL ULIOPO, YAAN MFANO UKO STAR 4&7, UNAPATA CASH KUANZIA $50,$75. KAMA SUPPORT KWAKO* 


 *3.TRIP ZA KIMATAIFA.* 

Hapa unajipatia nafasi ya kusafiri kwenda likizo katika nchi moja wapo ambayo imechaguliwa. 


    Safari za nje ya bara LA afrika yenye thamani ya *$2000* na Safari za ndani ya bara LA afrika yenye thamani ya *$4000*


 *4.MAGARI* 

Hapa kampuni inatoa fursa ya wewe kujipatie gari kutokana na namna ambavyo umeperfome kwenye kampuni. 


Normal Car, thamani ya kuanzia *$12,500* Na Luxury Car Thaman ya kuanzia *$25,000*


 _Hayo yoote unapata bureee kabisa, baada ya tu kufikisha vigezo fulan_ 


 *5. NYUMBA* 


Hapa kampuni inakupa nafasi ya kumiliki nyumba yako kubwa na nzuri eneo lolote ambapo ungependa!


Karibu sana ktk fursa hii au tupigie kwa 0719197319

Chapisha Maoni

0 Maoni