FAHAMU ZAIDI KUHUSIANA NA UMRI


(Umri wako) ? 


Unaweza ukashangaa kwanini nakuuliza swali la namna hii na pengine labda nini maana yake?


Sikiliza nikwambie kitu, ndani ya Ubongo wako Kuna Sehemu inaitwa 𝐬𝐨𝐦𝐚𝐭𝐨𝐬𝐞𝐧𝐬𝐨𝐫𝐲 𝐜𝐨𝐫𝐭𝐞𝐱 hii ndiyo inayokufanya wewe uweze kusoma Ujumbe huu hivi Sasa (Yes) Hongera Sana , kwani kadri unavyozidi kusoma inadhihirisha wazi kwamba Kuna kitu Fulani unataka kujifunza ,Nikupongeze kwa Hilo.


𝖭𝖺𝗍𝖺𝗄𝖺 𝗇𝗂𝗄𝗎𝖿𝖺𝗁𝖺𝗆𝗂𝗌𝗁𝖾 𝗏𝗒𝖾𝗆𝖺 𝗄𝗎𝗁𝗎𝗌𝗎 𝗎𝗆𝗋𝗂 𝗎𝗅𝗂𝗈𝗇𝖺𝗈 𝗇𝖺 𝖬𝖺𝗆𝖻𝗈 𝗎𝗇𝖺𝗒𝗈𝗉𝖺𝗌𝗐𝖺 𝖪𝗎𝖿𝖺𝗇𝗒𝖺 𝗄𝗐𝖾𝗇𝗒𝖾 𝗆𝖺𝗂𝗌𝗁𝖺 𝖸𝖺𝗄𝗈 𝖪𝗐𝖺𝗌𝖺𝖻𝖺𝖻𝗎 𝖾𝗇𝖽𝖺𝗉𝗈 𝗄𝖺𝗆𝖺 𝗁𝗎𝗍𝗈𝖿𝖺𝗇𝗒𝖺 𝖬𝖺𝗆𝖻𝗈 𝗁𝖺𝗒𝖺 𝗇𝖽𝖺𝗇𝗂 𝗒𝖺 𝗐𝖺𝗄𝖺𝗍𝗂 𝖲𝖺𝗁𝗂𝗁𝗂 𝖻𝖺𝗌𝗂 𝗁𝗎𝗍𝗈𝖿𝖺𝗇𝗂𝗄𝗂𝗐𝖺 𝗄𝗐𝖺 𝗏𝗂𝗐𝖺𝗇𝗀𝗈 𝗏𝗒𝖺 𝖩𝗎𝗎 𝖲𝖺𝗇𝖺 𝗇𝖺 𝗎𝗍𝖺𝗂𝗌𝗁𝗂 𝖬𝖺𝗂𝗌𝗁𝖺 𝗒𝖺 𝗄𝖺𝗐𝖺𝗂𝖽𝖺 𝗆𝗇𝗈. 


𝐍𝐚𝐟𝐚𝐡𝐚𝐦𝐮 𝐟𝐢𝐤𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐦𝐮𝐝𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐮𝐤𝐢𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐠𝐢𝐳𝐚 𝐧𝐚 𝐖𝐚𝐥𝐚 𝐬𝐢𝐲𝐨 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐘𝐚𝐤𝐨 𝐡𝐚𝐥𝐢𝐬𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐲𝐨𝐲𝐚𝐬𝐭𝐚𝐡𝐢𝐥𝐢 lakini pia  Kuna muda huwa unajikaza kuwaonyesha watu ya kwamba upo sawa-sawa na hauna shida Kumbe umezungukwa na matatizo, tena Wakati mwingine huwa unakosa mpaka furaha bila sababu kwa maana kila unachokigusa hakiwi  Kama vile ulivyotaka kiwe.Hakika  Kilichotarajiwa kikikawia Kuja Basi moyo huugua Sana.


𝖭𝖺𝗈𝗆𝖻𝖺 𝖳𝖺𝗓𝖺𝗆𝖺 𝗏𝗂𝗓𝗎𝗋𝗂 𝗁𝖺𝗉𝗈 𝖼𝗁𝗂𝗇𝗂, 𝗎𝗆𝗋𝗂 𝗎𝗅𝗂𝗈𝗇𝖺𝗈 𝗇𝖺 𝖺𝗍𝗁𝖺𝗋𝗂 𝗎𝗇𝖺𝗓𝗈𝗓𝗂𝗉𝗂𝗍𝗂𝖺 𝗁𝗂𝗏𝗂 𝗌𝖺𝗌𝖺 𝗄𝗐𝖾𝗇𝗒𝖾 𝗆𝖺𝗂𝗌𝗁𝖺 𝖸𝖺𝗄𝗈 𝗇𝖺 𝖻𝖺𝖺𝖽𝖺 𝗒𝖺 𝗁𝖺𝗉𝗈 𝖴𝗇𝖺𝗐𝖾𝗓𝖺 𝗇𝗂𝗍𝖺𝖿𝗎𝗍𝖺 𝗂𝗅𝗂 𝗇𝗂𝗐𝖾𝗓𝖾 𝗄𝗎𝗄𝗎𝗌𝖺𝗂𝖽𝗂𝖺 𝗎𝗐𝖾 𝗌𝖺𝗐𝖺 𝗄𝗂𝗌𝖺𝗂𝗄𝗈𝗅𝗈𝗃𝗂𝖺. 


🔎𝐔𝐧𝐚 𝐮𝐦𝐫𝐢 𝐊𝐚𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 9-16 𝐖𝐞𝐰𝐞 𝐮𝐩𝐨 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐅𝐚𝐧𝐭𝐚𝐬𝐲 𝐚𝐠𝐞. 


-Unahisi una weza kujisimamia.

-Unahisi unahitaji Uhuru.

-Unahisi Umekua Sasa.

-Unakuwa na kiburi.

-Unakuwa na ndoto za dhahania.

-Unayachukia Maisha Yako.


🔎𝐔𝐧𝐚 𝐮𝐦𝐫𝐢 𝐊𝐚𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 16-22 𝐖𝐞𝐰𝐞 𝐮𝐩𝐨 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐅𝐨𝐨𝐥𝐢𝐬𝐡 𝐚𝐠𝐞.


-Huambiliki kabisa.

-Unaendeshwa kwa hisia.

-Unaweka malengo Ila huyasimamii.

-Unatamani kuhusiana.

-Unajifunza kuwa msiri.

-Umechanganyikiwa.


🔎𝐔𝐧𝐚 𝐮𝐦𝐫𝐢 𝐊𝐚𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 22-26 𝐖𝐞𝐰𝐞 𝐮𝐩𝐨 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐑𝐞𝐛𝐞𝐥𝐥𝐢𝐨𝐮𝐬 𝐚𝐠𝐞.(𝐘𝐨𝐮𝐧𝐠 𝐀𝐝𝐮𝐥𝐭) 


-Unakurupuka bila kufikiria.

-Unadhani umechelewa.

-Unatamani Kuoa/Kuolewa.

-Una kiu ya Mafanikio.

-Huna Ujasiri/Haujiamini.

-Bado Haulifahamu Kusudi lako.

-Huna malengo Wala ndoto.

-Unaiga Maisha Sana.


Kisaikolojia mtu anapofikisha umri wa miaka 25 Ubongo hupunguza uwezo wa kukabiliana na Mabadiliko mapya yaani (Plasticity).


🔎𝐔𝐧𝐚 𝐮𝐦𝐫𝐢 𝐊𝐚𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 27-45 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐮𝐩𝐨 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐘𝐨𝐮𝐭𝐡𝐟𝐮𝐥 𝐚𝐠𝐞 (𝐌𝐢𝐥𝐝 𝐀𝐝𝐮𝐥𝐭). 


-Umekosa mwelekeo.

-Huna matumaini Tena.

-Unaishi ili Uishie.

-Umekuwa mchoyo/Hasira.

-Umekuwa Mtu wa Lawama.

-Unawaza visasi tu.

-Unahisi Hauwezi kufanikiwa.

-Bado una Aibu na Hofu.


Katika Kipindi Cha Miaka 27 na kuendelea unapaswa kuwa tayari unalifahamu vyema na unaliishi Kusudi lako. Je wewe unalifahamu kusudi la Maisha Yako?


🔎𝐔𝐧𝐚 𝐮𝐦𝐫𝐢 𝐊𝐮𝐚𝐧𝐳𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 45-55 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐮𝐩𝐨 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 (𝐏𝐮𝐫𝐞 𝐀𝐝𝐮𝐥𝐭𝐡𝐨𝐨𝐝).


-Umejitenga na ndugu zako.

-Umejikatia tamaa.

-Huzuni imetawala hisia zako.

-Unaogopa kujaribu Mambo.

-Unahisi Umeshazeeka.


🔎𝐔𝐧𝐚 𝐮𝐦𝐫𝐢 𝐊𝐮𝐚𝐧𝐳𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 55-80+ 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐮𝐩𝐨 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐖𝐢𝐬𝐝𝐨𝐦 𝐚𝐠𝐞. 


-Una Mawazo mabaya akilini mwako.

-Unasubiria tu kufa.

-Unahisi huna mchango wowote.

-Unajuta kutumia muda vibaya.

-Unawatisha watu wengine.

-Umejidharau.


𝖲𝖺𝗌𝖺 𝗁𝗂𝗓𝗈 𝗇𝗂 𝖺𝗍𝗁𝖺𝗋𝗂 𝗍𝗎 𝗅𝖺𝗄𝗂𝗇𝗂 𝗒𝖺𝗉𝗈 𝖬𝖺𝗆𝖻𝗈 𝗒𝖺 𝗆𝗌𝗂𝗇𝗀𝗂 (𝖬𝗎𝗁𝗂𝗆𝗎) 𝖲𝖺𝗇𝖺 𝖺𝗆𝖻𝖺𝗒𝗈 𝗎𝗇𝖺𝗉𝖺𝗌𝗐𝖺 𝗄𝗎𝗒𝖺𝖿𝖺𝗇𝗒𝖺 𝗄𝗎𝗅𝗂𝗇𝗀𝖺𝗇𝖺 𝗇𝖺 𝖴𝗆𝗋𝗂 𝗎𝗅𝗂𝗈𝗇𝖺𝗈 𝗂𝗅𝗂 𝗎𝗐𝖾𝗓𝖾 𝗄𝗎𝗒𝖺𝖿𝗎𝗋𝖺𝗁𝗂𝖺 𝖬𝖺𝗂𝗌𝗁𝖺 𝗎𝖾𝗉𝗎𝗄𝖺𝗇𝖾 𝗇𝖺 𝖬𝖺𝗃𝗎𝗍𝗈 𝖻𝖺𝖺𝖽𝖺𝖾. 


Endapo kama Umeathiriwa tangu utotoni basi ni dhahiri kabisa unahitaji Tibaa ya Haraka mno lasivyo Utaishia pabaya.


Karibu inbox moja kwa Moja ili niweze kukuhudumia.


𝐀𝐮𝐭𝐡𝐨𝐫: 𝐤𝐚𝐥𝐮𝐧𝐠𝐮-𝐩𝐬𝐲𝐜𝐡𝐨𝐦𝐨𝐭𝐢𝐯𝐞

𝐩𝐬𝐲𝐜𝐡𝐨𝐥𝐨𝐠𝐢𝐬𝐭|𝐂𝐨𝐮𝐧𝐬𝐞𝐥𝐥𝐞𝐫|𝐓𝐫𝐚𝐢𝐧𝐞𝐫

𝐏𝐬𝐲𝐜𝐡𝐞𝐳𝐨𝐧𝐞 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐧𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧𝐚𝐥 𝐜𝐨.𝐥𝐭𝐝.

☎️+255(0)755256039 𝐜𝐚𝐥𝐥/𝐓𝐞𝐱𝐭


https://linktr.ee/Kalungupsychomotive

Chapisha Maoni

0 Maoni