MADHARA YA KUTUMIA VIAGRA au VEGA ( Sildenafil)?
Viagra au vega(Sildenafil),ni dawa inayotumika sana miongoni mwa wanaume kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa kufanya tendo la ndoa ( sex),dawa hizi mara nyingi zinatumiwa na watu wenye matatizo katika mfumo wa uzazi yaani wasioweza kusimamisha vizuri kiungo cha uzazi lakini pia,imekua ikitumika hata kwa watu wasio kua na tatizo hilo ila wanaitumia kwaajili ya kumkomoa mwanamke flani na wengine hupenda kuiga vile wanavyofanya waigiza sinema za ngono (por_ graphers). bila kutambua madhara yake makubwa watu wanajiingiza kuzimeza dawa hizi,
Siku ya leo napenda kukufahamisha jinsi VIAGRA inavyofanya kazi na madhara yake.
JINSI INAVYOFANYA KAZI:
Viagra,haimfanyi mtu kupata ashki ya kufanya ngono bali yenyewe hufanya kazi endapo tu mtu atakua amepata ashki ya kufanya ngono. ili upate kuelewa jinsi inavyofanya kazi nibora kuelewa jinsi mwanaume anavyoweza kusimamisha uume.
Pindi mwanaume anapopata ashki ya kufanya mapenzi ,mishipa ya mfumo wa fahamu ( nervours system) ilioko katika misuli ya uume hutoa kichocheo kinachoitwa Nitric oxide (NO), ambayo huamrisha viamshi ( enzymes) kuzalisha kichocheo kingine tena kinachoitwa messenger Cyclic guanosine monophosphate ( cGMP ). cGMP huifanya misuli laini ya uume kujiachia na kutanuka ambapo matokeo yake huiruhusu damu kuingia na kujaa vizuri katika mishipa midogomidogo ( blood cappilaries) ilioko katika uume, hapo ndipo uume unaposimama vizuri sasa. hivyo basi Viagra hufanya kazi ya kusawazisha kiwango cha hivi vichocheo vinavyoitwa Cyclic guanosine Monophosphate ( cGMP ).
madhara ya Viagra ;
kwa mara ya kwanza dawa hii ilitumika kutibu tatizo la pressure lakini ilionesha maajabu sana pale ilipo leta matokeo ya kuwafanya wagonjwa wa kiume kua na nguvu nyingi sana za kusimamisha maumbile yao ya uzazi, baada ya hapo zikazuiliwa kutumika mahospitalini lakini baadae zikafanyiwa uchunguzi na zikarudishwa tena rasmi kwaajili ya watu wenye matatizo ya kusimamisha(upungufu wa nguvu za kiume), ilikua ikitumika kwa watu hasa waliokosa nguvu za kiume kwasababu za kisaikolojia hivyo basi chini ya usimamizi wa daktari walikua wanapewa dawa hizi huku wakipewa ushauri nasaha ili wajiamini kua wanauwezo wa kufanya vizuri tendo hilo,
Baada ya muda flani mgonjwa hurudi katika hali yake ya kawaida na kuacha kuzitumia dawa hizi lakini kwa sasa watu wengi wanatumia hata kama hana tatizo la mfumo wa uzazi bado atalazimishia tu kuzitumia matokeo yake ni kama ifuatavyo;
~ Mtu anaetumia viagra bila ushauri wa daktari huku akiwa na matatizo mengine ya kiafya kama pressure yuko hatarini kupoteza ihai wake.
~ Kadri mtu anavyotumia Viagra ndivyo tatizo linavyozidi kua baya zaidi, kwasababu viagra inamfanya asimamishe kwa muda mfupi hivyo akitaka kufanya mapenzi siku ingine lazima azimeze tena dawa hizi hali hii ya kuzimeza kila wakati inamfanya kua torelant ( tegemezi hali ya kumfanya azidi kuongeza dozi yake ili apate nguvu zinazomtosheleza kila wakati ) mwisho wa siku dawa hizi hutengeneza sumu mwilini na kuua kabisa nguvu za kiume.
~ Mtu anaetumia Viagra yuko hatarini kupata ukiziwi,
~ mtu anaetumia viagra ,yuko hatarini kupoteza uwezo wa kuona hii ni kutokana kwamba dawa hizi hua baadhi ya vichocheo vinavyofanya kazi ya kusafirisha mwanga na picha kuelekea katika mfumo wa fahamu kuharibiwa na dawa hizi.
USHAURI WANGU KWAKO;
Napenda kukushauri kuepukana na kukimbilia
kutumia dawa hozi Viagra ni hatari sana.
CHUKUA UAMUZI WA KUTIBU TATIZO LAKO, USISUBIRIE KUDHALILIKA KWA MPENZI WAKO. WAKATI WEWE UKIONA AIBU KUJITIBU AU KUONA GHARAMA KUBWA BASI NAKUKUMBUSHA KUA KUNA MAFANIKIO MAKUBWA YANAKUPITA KWASABABU AKILI YAKO HAIKO SAWA KUFIKIRIA NA KUONA MAFANIKIO MAISHANI KWASABABU YA TATIZO HILO LINALOKUSUMBUA. JITIBU SASA.
Mimi binafsi naamini tiba ya miti shamba ila iwe katika mfumo mzuri wa kujua dose yake na strength ya dawa na madhara ya dawa hio kwa mgonjwa.
unaweza kuwasiliana na mimi kwa matibabu kupitia mawasiliano yafuatayo;
pharm: Mazua
0 Maoni