*MWANAMKE_FAHAMU_SIKU_ZAKO*
Wasichana na wanawake wengi kutokana na misamiati migumu wanayofundishiwa hawafahamu vizuri mzunguko wao wa hedhi na hivyo kupelekea kupata ujauzito ambao huwa wanauita wa 'bahati mbaya'.
Ifuatayo ni elimu ndogo itakayomsaidia mwanamke kuweza kutambua mzunguko wake vema na namna ya kupata mtoto wa kike ama wa kiume. Tuanze na maana kadhaa za hedhi yenyewe.
MENSTRUAL PERIOD (hedhi yenyewe): Ni kipindi ambacho damu inatoka sehemu za siri za mwanamke.
MENSTRUAL CYCLE (Mzunguko wa hedhi): Ni idadi ya siku ambazo mwanamke atakaa mpaka kuona damu ikimtoka tena sehemu zake za siri. Kwa mfano mara ya mwisho damu ilianza kutoka tarehe 11 mwezi wa sita 2017 na ikaanza tena tarehe 10 mwezi wa saba 2017, Basi hapo ni mzunguko wa siku 30 (hesabu kuanzia tarehe 11 mwezi wa sita mpaka tarehe 10 mwezi wa saba).
PS : Idadi ya siku katika mzunguko zinatofautiana kwa baadhi ya wanawake zikianzia siku 21 mpaka siku 35. Ila kufahamu mzunguko wako ni wa siku ngapi, weka alama tarehe uliyoanza katika mwezi husika halafu hesabu siku mpaka utakapoanza tena mzunguko katika mwezi utakaofuatia.
OVULATION PERIOD (Siku za hatari):
Hiki ni kipindi cha kupata ujauzito bila stress yoyote. Ni wiki mbili baada ya kumaliza hedhi au wiki mbili kabla ya kuanza hedhi nyingine. Ifuatayo ni njia rahisi ya kukokotoa na kufahamu siku za hatari ambazo ukijichanganya tu lazima upate ujauzito (unsafe period).
1. Kuanzia siku ya kwanza ulipoiona damu ya hedhi, chukua calendar na hesabu siku 15 ukianzia hiyo siku ambapo umeiona damu.
2. Weka alama kwa kuzungushia na peni katika hiyo siku ya 15 katika calendar. (Siku yenyewe ya hatari kabisa)
3. Weka alama siku tatu nyuma kabla ya hiyo siku ya 15, na weka alama siku tatu mbele baada ya hiyo siku ya 15.
4. Baada ya hapo utagundua umeweka alama siku takribani saba. Hizo siku saba ndio siku za 'ovulation' au siku za hatari au unsafe days. Kwamba ukijamiana siku yoyote kati ya hizo saba uwezekano wa kupata ujauzito ni asilimia 98.
5. Hesabu hivyo kila mwezi mpya unavyoanza mzunguko.
Siku zingine zote mbali na hizo saba ni siku salama.
Mfano sasa;
1. Hedhi yako ilianza tarehe 11 mwezi wa saba 2017,
2. Siku 15 baada ya siku ya kwanza damu ilipotoka itakuwa ni tarehe 25 mwezi wa saba 2017, ukianzia kuhesabu kwenye ile siku husika ya tarehe 11.
3. Siku tatu nyuma kabla ya zile siku 15 (tarehe 25) itakuwa ni tarehe 22, 23, 24.
4. Siku tatu baada ya zile siku 15 ni tarehe 26, 27, 28.
5. Kwa hiyo kuanzia tarehe 22 mwezi wa saba mpaka tarehe 28 mwezi wa saba (siku 7) ni kipindi cha hatari
Kukutana kimwili kati ya hizo siku lazima utajenga kitu ambacho kina masikio, pua, mdomo, miguu etc...
UTAPATAJE MTOTO WA KIKE AMA WA KIUME?
Kama unataka mtoto wa kike, wanandoa wanashauriwa wakutane kimwili siku tatu kabla ya siku za hatari (ovulation) kuanza..kwa mfano wa hapo juu ni tarehe 22 mpaka 24.
Na kwa mtoto wa kiume ni siku yenyewe ya ovulation (tarehe 25) au siku tatu baada ya tarehe 25 ukizingatia kwa mfano wa hapo juu.
..........
DALILI KWAMBA SIKU ZAKO ZA HATARI (OVULATION) ZIMEANZA....
Hauhitaji daktari, wewe relax. Baada ya wiki mbili tokea uanze hedhi utajihisi yafuatayo...
1. Muda mwingine kichwa kitakuuma.
2. Joto la mwili litaongezeka.
3. Uchovu..mwili kuchoka na usingizi usingizi.
4. Maziwa yataongezeka kiasi fulani.
5. Hamu ya kukutana kimwili (high sex drive).
...........
*N/B: Mfano huu umehusu sana wanawake wenye mzunguko wa siku 30. Kama wako ni wa siku 28, basi ni siku 14 na sio siku 15.*
Ukiona kichwa kinakuuma bila sababu, angalia ulianza lini hedhi. Then kunywa maji mengi sana. Usikimbile pharmacy kununua dawa za kutuliza maumivu kwenye issue ambazo unaweza kuzi-handle naturally, kwa sababu vidonge sio vizuri sana kwenye mwili wa mwanamke.
Lakini wengine wanachangamoto ya kutoona siku zao, au kupitisha siku kadhaa bila kuona siku zao, au damu kuendelea kuvuja bila utaratibu, au kupata maumivu makali sana ya tumbo wakati wa hedhi.
Je, unakosa hedhi wakati kikomo cha hedhi bado?
Je, hedhi zako hazieleweki na unashindwa kupangilia na kujua siku zako mhimu kunasa ujauzito?
Suluhu lipo tena kwa njia ya lishe/tiba lishe.
Ofisi zetu zipo Mlimani City,mbezi Dar es salaam, Njombe, Iringa, mafinga, Mbeya,Dodoma.Mwanza nk
0 Maoni