Badili Tabia Yako Mbaya(Sugu) 100%.
Tafadhali 𝐔𝐬𝐢𝐩𝐢𝐭𝐞 𝐁𝐢𝐥𝐚 𝐊𝐮𝐬𝐨𝐦𝐚 𝐔𝐣𝐮𝐦𝐛𝐞 𝐇𝐮𝐮 𝐌𝐮𝐡𝐢𝐦𝐮 Sana,
Maana endapo ukiuruka siku ya Leo kesho na kesho-kutwa utapatwa na Shida ya namna hii na hakutakuwa na mtu wa kukusaidia,
𝐊𝐮𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐥𝐢 𝐟𝐮𝐥𝐚𝐧𝐢 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐲𝐨 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐢𝐧𝐚𝐤𝐮𝐬𝐮𝐤𝐮𝐦𝐚 kufanya Mambo ambayo hayana kichwa Wala Miguu kwasababu ya mihemko kutoka kwa watu wanaokuzunguka na baada tu ya Kufanya kitu hicho ndipo unaposhtuka na kujikuta umeshachelewa tayari,
Kuna Tabia moja huwa unapenda Sana kuifanya kwa Siri ukiamini Hakuna anayekuona na kusahau kwamba madhara yake huwa yanajidhihirisha wazi bila Kificho,
𝐈𝐩𝐨 𝐭𝐚𝐛𝐢𝐚 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐦𝐛𝐚𝐲𝐚 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐲𝐨 𝐢𝐦𝐞𝐤𝐮𝐠𝐡𝐚𝐫𝐢𝐦𝐮 Fedha nyingi sana na kujikuta ukiishia kuwa masikini wa kutupwa wakati una kipato Cha Maana kabisa na cha ajabu Kila ukijaribu kuiacha unashindwa (Inakutesa vibaya),
Na Kuna Tabia moja mbaya ambayo imekufanya ukosane na Marafiki zako wa Karibu mliokuwa mkiaminiana na kupendana sana wakaamua kukutenga kwasababu ya Tabia yako na hata wao walishangazwa mno baada ya kujua una Tabia ya Aina Hiyo,
𝐔𝐩𝐨 𝐮𝐳𝐞𝐦𝐛𝐞 𝐟𝐮𝐥𝐚𝐧𝐢 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐨 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐮𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 kila siku hususani katika suala zima la muda na mpangilio wa Mambo yako ilihali unajua kabisa ni kosa na unapuuzia mwisho wa siku unajikuta unaharibu vitu vyako au mpangilio mzima wa Mambo Fulani na kujikuta Unajilaumu bure kwa kosa la kujitakia,
𝐔𝐧𝐚𝐝𝐡𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐢 𝐓𝐚𝐛𝐢𝐚 𝐠𝐚𝐧𝐢 𝐒𝐮𝐠𝐮 𝐊𝐚𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐡𝐢𝐳𝐢 ambayo imekuchosa kabisa unataka uibadilishe uanze Maisha yako Upya? Punyeto ,Kuhonga, Pombe, Bangi, Sigara,Uchoyo, Wizi,Tamaa, Uzinzi, Uvivu, Uongo, Upagani, Uchawi, Pondamali, Kupoteza kumbukumbu, Sifa za kijinga,Uchafu uliopitiliza ikiwemo kunuka kwapa, Kinywa na maeneo mengi ya Mwilini mwako kiasi kwamba umekosa kabisa Amani & Furaha pamoja na hali ya Wivu.
Nini hasa kinachokusumbua hebu Niambie,
𝐖𝐚𝐥𝐚 𝐔𝐬𝐢𝐧𝐢𝐟𝐢𝐜𝐡𝐞 𝐜𝐡𝐨𝐜𝐡𝐨𝐭𝐞 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐦𝐮𝐰𝐚𝐳𝐢,
Kuwa muwazi ili Upone (Jihurumie),
Najua umeteseka Sana Ila nataka kukwambia kwamba Tatizo lako limepatiwa ufumbuzi.
Huna Tena sababu ya kuwaza juu ya Jambo hilo fuata Hatua hizi Hapo Chini ili Upone:-
1. Fahamu Chanzo Cha Tabia Yako.
2. Badili mtazamo wako (kifikra).
3. Badilisha Marafiki.
4. Tengeneza Tabia mpya.
5. Badili Ratiba yako.
6. Hama Eneo Ulilopo.
7. Jiweke Malengo (Nidhamu).
8. Panga Bajeti.
𝐉𝐞, 𝐔𝐧𝐚𝐡𝐢𝐬𝐢 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐮𝐧𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐔𝐬𝐢𝐦𝐚𝐦𝐢𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐊𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐏𝐞𝐤𝐞 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐡𝐮𝐭𝐨𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐣𝐢𝐬𝐢𝐦𝐚𝐦𝐢𝐚?
Wala Usione aibu Funguka !!
Piga/Tuma Ujumbe wenye neno
"Matatizo" Upatiwe msaada.
𝐀𝐮𝐭𝐡𝐨𝐫: 𝐤𝐚𝐥𝐮𝐧𝐠𝐮-𝐩𝐬𝐲𝐜𝐡𝐨𝐦𝐨𝐭𝐢𝐯𝐞
𝐩𝐬𝐲𝐜𝐡𝐨𝐥𝐨𝐠𝐢𝐬𝐭|𝐂𝐨nsultant|𝐓𝐫𝐚𝐢𝐧𝐞𝐫
𝐏𝐬𝐲𝐜𝐡𝐞𝐳𝐨𝐧𝐞 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐧𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧𝐚𝐥 𝐜𝐨.𝐥𝐭𝐝.
☎️+255(0)755256039 𝐜𝐚𝐥𝐥/𝐓𝐞𝐱𝐭
Kwa wewe ambaye unahitaji vitabu mbali mbali vya Kuongeza Maarifa katika Lugha ya kiingereza na Kiswahili vipo Karibu sana.
https://linktr.ee/Kalungupsychomotive
0 Maoni