Biashara yako itakuwa (Itagrow) kama mauzo yako nayo yanakuwa💯%
Mauzo nayo hukuwa pale idadi ya wateja wako inapoongezeka zaidi ya kila siku.
Swali ni kwamba, Je! unawezaje kupata idadi ya wateja zaidi ya 50 kwa siku🤷🏽♂️
Ndio inawezekana kupitia Facebookna Instagram.
Facebook na Instagram zina njia maalumu ambazo ukizitumia kutangaza Biashara yako zitakuletea idadi kubwa ya wateja sahihi moja kwa moja Whatsapp.
Na lazima uzijuwe hizi njia wewe mjasiriamali kama unataka kukuza biashara yako na kutengeza faida mitandaoni.
Karibu kwenye mafunzo haya Buree ambayo utajifunza yafutayo;
1. Njia maalumu za kupata idadi kubwa ya Wateja kupitia
Faceboona Instagram.
2. Namna ya kutumia simu kutengeza matangazo mazuri sana ya bidhaa na huduma yako.
3. Namna ya kutumia Canva na Inshot.
4. Utapata ushauri binafsi kuhusu changamoto za biashara na namna ya kuhudumia wateja.
Baada ya mafunzo haya na ukafanyia kazi utaweza kukuza biashara yako kwa 99% kutokana na kukuwa kwa mauzo yako kwa kupata idadi kubwa ya wateja walio sahihi mitandaoni.
Fursa hii ni ya kila mfayabiashara hakikisha unaingia kwenye darasa hili;
Karibu sana. Mafunzo ni Buree.
Yataanza Tarehe 29 Jumatatu.
Bonyeza link chini na kuingia darasani👇🏽
Open this link to join my WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/IzCv6GAlgKhB4jQv9IcAuT
0 Maoni