*"NINAPENDELEZA ZAIDI KUSIKILIZA..."*
```Huenda na wewe ni mojawapo wa watu ambao uwezo wao wa kiakili, umejikita katika kusikiliza.Kuwa katika kundi hili sio udhaifu, bali ni ubora. Sasa unaweza kupata ujuzi na maarifa zaidi kupitia masikio.
Bila shaka unatambua kuwa , mlango wa fahamu unatuwezesha kusikia ni masikio. Kwa kawaida, viumbe hai, huwa na masikio mawili ambayo huwa wazi muda wote kwa ajili ya kunasa mawimbi ya sauti.
Katika mchakato wa ukuaji wa mtoto; masikio ni mlango wa fahamu wa pekee, unaoanza kufanya kazi mapema; tangu mtoto akiwa tumboni(kuanzia wiki mbili).Na zaidi ya hilo, masikio ndio mlango wa fahamu wa pekee, unakuwa wa mwisho kuacha kufanya kazi kabla ya kiumbe hai, hajafikwa na umauti au kifo.Hivyo basi, huu ni mlango wa fahamu bora zaidi kuutumia kipitishia maarifa na ujuzi hadi kwenye ubongo tangu ukiwa tumboni hadi unapofariki na mlango wa fahamu unaofanya kazi kwa muda mrefu zaidi.Kuna kila sababu za kutumia masikio kwa ajili ya kunasia mawimbi yenye maarifa ndani yake.
Kutokana na utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Califonia, watu huelewa kwa 55 % ikiwa watatumia masikio na 07% ikiwa watusoma. Hivyo basi, masikio, ni mlango wa fahamu muhimu katika ufundishaji na ujifunzaji. Aidha, Katika mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji, wanafunzi wengine hupendelea zaidi kufyonza maarifa kutoka kwa walimu kwa njia ya kusikiliza kuliko kuona.
Je wewe hupendelea zaidi kupokea maarifa kupitia mlango gani wa fahamu?
Ikiwa ni kupitia masikio; nimekuandalia audio zenye tano (05) kwa ajili ya kujichotea maarifa yanayohusu maisha. Audio hizo, ni hizi zifuatazo:-```
1. *" Uzoefu wa kushindwa katika kushinda: Mchakato wa pili wa mafanikio katika maisha* ." dakika 15.
2. *"Sheria ya kuitumia ili uipate baadaye; kuipata ili uitumie baadaye: Mifano husivu kutoka katika maisha ya kawaida"* Dakika 25.
*3. "Radha inayotokana na kujichanganya"* dakika 13.
*4. "Wakati unaofaa zaidi kusaidiana"* dakika 18
*5 Nguvu ya kujitofautisha: Msingi wa mafanikio* dakika 22
```Tuma namba iliyopachikwa karibu na jina la audio, kisha utandaliwa audio hiyo kwa viwango vya hali ya juu na kutumiwa kwa njia ya email au whatsuup```
*Kwa maelezo zaidi au maswali; wasiliana nami kupitia*
Simu ya mkononi:
*0763029898*
*0620775427*
Anuani ya barua pepe:
*ezekialoti@gmail.com*
Imedhaminiwa na
*ONGEZA MAARIFA BOOKSHOP*
*ONGEZA MAARIFA, BORESHA MAISHA YAKO*
0 Maoni