HUU NI WAKATI WA KUWA BOSS

𝐇𝐮𝐮 𝐍𝐢 𝐖𝐚𝐤𝐚𝐭𝐢 𝐖𝐚𝐤𝐨 𝐰𝐚 𝐊𝐮𝐰𝐚 𝐁𝐨𝐬𝐬, 
Hakuna Wakati mwingine Ila Sasa.

Nasema hivyo kwasababu Naona kabisa  tayari una mtaji lakini wewe mwenyewe unahisi Kama vile hautoshi (Si ndiyo)?

Ngoja nikwambie kitu Siku zote Washindi hufanya Mambo madogo kwa namna kubwa kwahiyo una kila Sababu ya kuanza,Usisubirie ili Uanze  Anza sasa maana wakati haukusubiri. 

Ukiwa Mrefu na Hauna Pesa Utaitwa Tolu lakini ukiwa Mrefu na Una Pesa watakuita Gentleman, Ukiwa Mnene na Hauna Pesa Utaitwa Bonge Nyanya Ila Ukiwa mnene na Una Pesa Utaitwa .B.I.G Au mtu Mzito.

Nadhani wewe mwenyewe Unaufahamu vyema Muonekano wako JInsi Ulivyo (Si ndiyo)? Kwahiyo Unaweza kuamua Uchague Jina au Uchaguliwe Jina na watu Kwani siku zote kupanga ni kuchagua.

𝐇𝐮𝐮 𝐧𝐢 𝐌𝐟𝐚𝐧𝐨 𝐰𝐚 𝐁𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚 8 𝐳𝐢𝐬𝐢𝐳𝐨𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐌𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐦𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 (𝐜𝐡𝐢𝐧𝐢 𝐲𝐚 40,000/- Tshs)

1. Kuuza Karanga .
Mtaji 13000/- ,Sinia 2000/-, Karanga 4000,Sufuria 4000 ,Jiko la Mkaa 3000/- n.k

2. Kuuza Matunda .
Mtaji 10000/- ,Machungwa 100 n.k

3. Kuuza Uji  au Maharagwe Jioni.
Mtaji 40,000/- ,Ulezi kilo moja,Benchi 20,000/-, Sufuria la 10,000/- n.k

4. Kuuza Maji Ya Kunywa 
Mtaji 30,000/- (Ndoo mpya Elfu 5000,Maji ya Bomba 200, Jiko la mkaa 3000/-,Sufuria  n.k)

5. Kuuza Sabuni Ya Unga & Mche.
Mtaji 40,000/- ,Gunia 27,000,Mche Box 12,000/-)

6. Udalali Wa Vitu/Bidhaa (kuelekeza watu)
Mtaji (Mdomo) & Nauli.

7.Biashara ya Kuchoma Mahindi.
Mtaji 40,000/- ,Jiko 20,000/- ,wavu 5000/- na mahindi ya mahindi ya 10000/- na mkaa 5000.

8. Biashara ya kuuza Kalamu za kuandikia maofisini na Shuleni,vyuoni au Chaki.

Hizo ni Kati ya biashara chache ambazo Unaweza Kufanya ukiwa na Mtaji mdogo chini ya 40,000/- zipo nyingi mno Kama kununua Mashati ya mtumba na kuyatembeza, kuuza vifaa vya Urembo  n.k

Sikiliza nikwambie, Kitu pekee ambacho Unaweza Kufanya hivi Sasa ni kuwekeza katika Maarifa kwani ukifanya hivyo utaweza kujua ni Mambo gani unapaswa kufanya kwa kufuata kanuni Sahihi za Mafanikio.

Tarehe 29-03-2021 Nimekuandalia Semina ya siku 4 Mfululizo kwa Njia ya WhatsApp itakayokwenda Kufungua akili yako na kukuandaa sawa-Sawa kuingia katika ulimwengu wa Biashara ambapo Utakwenda Kujifunza Mambo yafuatayo:-

✔️Njia 5 za kuchagua Jina bora la biashara yako.
✔️Hatua 5 za kuifanya biashara yako ikue.
✔️Njia 7 za kupata Masoko ya Uhakika.
✔️Mambo 6 ya Kuepuka kabla ya Kuanzisha biashara.
✔️Ufahamu Ujuzi wa Kuuza huduma/bidhaa.
✔️Makosa 3 ya kuepuka ili biashara isife.

Endapo Kama Utawahi Kufanya malipo mapema kabla ya tarehe 28 nitakauunganisha kwenye Kundi maalumu la watu ninaowasimamia kwa Wiki Moja Bure (Free Mentorship Programme)  Ili niweze kukunoa vyema na kuondoa Ujinga, Hofu pamoja na woga wote uliopo kichwani mwako.

𝐀𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐃𝐚𝐫𝐚𝐬𝐚 𝐧𝐢 : Tshs 10,000/- tu 
𝐔𝐤𝐮𝐦𝐛𝐢 𝐧𝐢 : WhatsApp Online Class.
𝐌𝐮𝐝𝐚 : saa 2 kamili - 4 kamili Usiku.
𝐊𝐮𝐚𝐧𝐳𝐢𝐚 𝐓𝐚𝐫𝐞𝐡𝐞: 29March-2 April 2021


☎️ call/Text 0755-256 039

Chapisha Maoni

0 Maoni