JE,UNAJUA KUWA WEWE NI GENIUS

𝐈𝐯𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐣𝐮𝐚 𝐧𝐚 𝐖𝐞𝐰𝐞 𝐍𝐢 𝐆𝐞𝐧𝐢𝐮𝐬 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐞𝐧𝐞𝐨 𝐟𝐮𝐥𝐚𝐧𝐢?.

💢 Sasa Swali ni je Ugenius wako ni upi?,Tayali umeshagundua eneo ambalo wewe ni Genius?,Na kama umegundua je Unatumia eneo hilo ipasavyo?, kama Una hapana katika swali lolote kati ya haya Usiofu tumekuandalia Kozi nzima ya 𝐊𝐈𝐏𝐀𝐉𝐈 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 hupaswi kukosa sasa.

💢 Kutokana na Dr Howard Gardner wa Chuo cha Havard katika Kitabu chake cha 𝐅𝐫𝐚𝐦𝐞𝐬 𝐨𝐟 𝐌𝐢𝐧𝐝s (Theory of Multiple Intelligence) anasema kuna aina 8 za Ugenius lakini Shule imekuwa inapima aina 2 tu na ndo maana Mtu anaweza kuwa alikuwa anafanya vibaya shuleni au hajasoma kabisa lakini kwenye maisha akafanikiwa sana kuliko hata waliosoma hii ni kutokana na ukweli kwamba alitumia aina nyengine za ugenius.

💢 Kumbuka kila mtu ana kipaji au Uwezo wa Tofauti sio kwasababu hujagundua Uwezo au Ugenius wako ndo ukadhani hauna, Mungu asingekuleta Kwenye hii Dunia ngumu bila kukupa Nyenzo ya kukurahisishia Maisha ili kutimiza kusudi lako.

💢 Katika Darasa la Siku 7 Kuanzia Tarehe 27 kwa Njia ya WhatsApp Group tutajifunza Hatua Kubwa nne za Kutengeneza Fedha Kupitia U Genius/Uwezo wako au Kipaji Chako kama ifwatavyo,

1. 𝐇𝐚𝐭𝐮𝐚 𝐘𝐚 𝐊𝐰𝐚𝐧𝐳𝐚 - 𝐊𝐔𝐆𝐔𝐍𝐃𝐔𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐙𝐎 𝐖𝐀𝐊𝐎.

⏩ Tutajifunza Sabubu 5 Kwanini hujagundua Genius/Kipaji chako Mpaka sasa.

⏩ Sababu 4 Kwanini unahitaji kugundua Uwezo wako na Kuufanyia kazi.

⏩ Njia 6 zilizo thibitishwa Kugundua Kipaji Chako haraka.

⏩ Aina 8 za Ugenius na namna ya Kugundua yakwako.

2. 𝐇𝐚𝐭𝐮𝐚 𝐲𝐚 𝐏𝐢𝐥𝐢 - 𝐍𝐎𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐙𝐎/ 𝐊𝐈𝐏𝐀𝐉𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐊𝐎.

⏩ Mbinu za Kunoa au Kuongeza Uwezo wa Kipaji chako.

⏩ Mbinu za Kutafuta Mlezi au Meneja sahihi wa Uwezo/Kipaji chako na namna ya kushawishi akukubalie.

3. 𝐇𝐚𝐭𝐮𝐚 𝐲𝐚 𝐓𝐚𝐭𝐮 - 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐘𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐙𝐎/𝐊𝐈𝐏𝐀𝐉𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐊𝐎.


⏩ Mbinu za Kujitangaza Na kujenga Brand ya Kipaji/ Uwezo wako.

⏩ Namna ya Kutengeneza Mtandao wa watu sahihi kwa Kipaji chako.

⏩ Makosa wanayofanya watu wakati wa Kuonyesha Uwezo/ Kipaji Chao.

⏩ Namna ya Kuonyesha Kipaji Chako Kupitia Mitandao ya Kijamii.

4. 𝐇𝐚𝐭𝐮𝐚 𝐲𝐚 𝐍𝐧𝐞 - 𝐊𝐔𝐁𝐀𝐃𝐈𝐋𝐈 𝐔𝐖𝐄𝐙𝐎/ 𝐊𝐈𝐏𝐀𝐉𝐈 𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐅𝐄𝐃𝐇𝐀.

⏩ Tutajifunza Namna ya Kugundua Muda sahihi wa Kuhitaji Fedha Kwakutumia Uwezo Wako.

⏩ Namna Unavyoweza Ongeza Thamani ya Kipaji chako Ili Ulipwe zaidi.

💢 Kozi hii ya Siku 7 ni Tsh elfu ishirini (20,000) ila Kwa  watu 15 wa Mwanzo Watadhaminiwa na Kulipa elfu kumi tu baada ya hapo Watao ongezeka watalipia Gharama halisi ya Kozi ambayo ni elfu ishirini.

💢 Kumbuka Ni Ngumu sana Kukuta Mafunzo ya Kipaji Yakiwa Yanajitoshereza kama Haya hivo Kushindwa kuudhulia Kozi hii Sasa Kutakuchukua Muda mrefu sana Kujakupata Mafunzo ya Kipaji na U Genius kwa Ukubwa huu hivo isichezee nafasi hii huwa tunasema " 𝕲𝖔𝖑𝖉𝖊𝖓 𝖈𝖍𝖆𝖓𝖈𝖊 𝖓𝖊𝖛𝖊𝖗 𝖈𝖔𝖒𝖊 𝖙𝖜𝖎𝖈𝖊".
.
💢 𝐌𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐲𝐞𝐭𝐮 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢.

⏩ Instagram & FB - 𝐕𝐢𝐜𝐭𝐨𝐫 𝐌𝐰𝐚𝐦𝐛𝐞𝐧𝐞 

⏩ Instagram & FB - 𝐅𝐨𝐮𝐧𝐝𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐨𝐟 𝐒𝐮𝐜𝐜𝐞𝐬𝐬 𝐀𝐜𝐚𝐝𝐞𝐦𝐲
.
💢 Tupigie Sasa kwa 0744126640 au 0658503737.

Chapisha Maoni

0 Maoni