Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba ➡️Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe, ➡️ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunaita *HEMORRHOIDS* ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama *piles* tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30-50 *AINA ZA BAWASIRI* Kuna Aina mbili za bawasiri ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️ *1)BAWASIRI YA NDANI* Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili. Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa Aina hii nayo imegawanyika katika madaraja manne *⏺️DARAJA LA KWANZA* Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahal pale panapohusika *⏺️DARAJA LA PILI* Hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyew ndani baada ya kujisaidia *⏺️DARAJA LA TATU* Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe *⏺️DARAJA LA NNE* Hii ni bawasiri inayotoka na sababishi nyingi na huwa ngumu kurudi *Sasa tuangalie aina ya pili ya bawasiri ambayo ni*👇👇👇 *2)BAWASIRI YA NNJE* ⏩Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo *THROMBOSED HEMORRHOIDS* *SABABU ZA TATIZO LA BAWASIRI* Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni kama vifuatavyo ➡️ kufanya mapenzi kinyume na maumbile ➡️ kuharisha kwa muda mrefu ➡️ tatizo la kutopata choo ➡️ matatizo ya umri ➡️ kukaa kitako kwa muda mrefu ➡️ uzito kupita kiasi ➡️ matumizi ya vyoo vya kukaa kwa muda mrefu n.k *DALILI ZA BAWASIRI* ➡️Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa ➡️kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia ➡️kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa ➡️kujitokeza kwa kinyama katika eneo la haja kubwa ➡️kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana *MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI* ➡️kupata upungufu wa damu (anemia) ➡️Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo ➡️hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake ➡️kuathirika kisaikolojia ➡️kukosa moral ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali *MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI* ▶️Matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi tatizo kujirudia baada ya mda mfupi tiba nzuri ni kutumia Virutubisho vyetu vya **NOVEL DEPAL* PAMOJA NA *CONSTRELAX* Vitaondoa tatizo lako bila kufanyiwa upasuaji na pia tatizo halitajirudia tena. ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️ *MAELEZO YA TIBA* ⏺️Vidonge vya Novel Depal vimetengenezwa na Citrus Extract & Citrus Extract’s Essense mahususi kwa kuondoa vimbe mbali mbali ndani ya mwili ikiwemo bawasiri pamoja na kuondoa hari ya miguu kuvimba. *FAIDA ZA VIDONGE VYA NOVEL-DEPILE* ▶️Inasaidia kuondoa Bawasiri Sugu, uvimbe na kutoka kwa damu. ▶️Huondoa maumivu yanayosababishwa na uzito wa miguu. ▶️Hutuliza mvutano wa mishipa miguuni kunakoweza kusababisha damu kushindwa kurudi kwenye moyo. ▶️Husaidia Damu kuzunguka vizuri. ▶️ Ni Nzuri sana kuondoa mlundikano wa uric acid kwenye maungio inayopelekea kuharibika kwa mifupa (Arthritis) ▶️Ni tiba ya kuvimba kwa mishipa inayopitisha damu miguuni (Vericous Veins) ▶️Kuboresha uzalishaji wa homoni zinazosaidia ubongo na mwili kufanya kazi. ▶️Zinapunguza uwondoshwaji wa seli za awali zinanopambana na wavamizi (leukocyte and endothelial cell) ▶️Inapunguza mnato wa damu na kurahisisha mzunguko wa damu (blood viscosity and improve blood circulation) ▶️Inaboresha mzunguko wa maji mwilini kwenda sehemu zinazotakiwa.. 👇👇👇👇👇👇👇 *CONSTIRELAX* ⏩Ni dawa iliyotengenezwa kiasili kwa kutumia mchanganyiko wa FOS (Fructo- oligosaccharide, Radix Astragali, Prebiotic zinazosaidia ufanisi wa mmen’genyo wa chakula na kuondoa matatizo mengine ya tumbo. *FAIDA ZA CONSTIRELAX* ⏩Inasafisha tumbo vizuri mno na kuondoa hali ya kuvimbiwa (constipation) ⏩Inaondoa sumu zote tumboni ⏩Inaondoa dalili za Bawasiri sugu (Acute Hemorrhoids) kama kuvimba, kutoka damu. ⏩Inaboresha mzunguko wa maji maji mwilini na kuondoa viuvimbe vinavyo sababishwa na maji maji. ⏩Inasaidia kutibu aina mbali mbali ya vidonda vya tumbo (Peptic & Gastric) *MWISHO* *Bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia kulambogamboga za majani, matunda, na nafaka zisizokobolewa, pia kunywa maji mengi angalau glass 6/12kwa siku epuka kukaa chooni kwa muda mrefu.* ✍🏽✍🏽✍🏽✍🏽✍🏽
0 Maoni