SEMINA HII SI YA KUKOSA. NAMNA YA KUONGZA KIPATO NA MENGINE MENGI ILI UFANIKISHE MALENGO YAKO

 


Karibu katika makala zetu.soma mbaka mwisho ili uelewe dhumini la tangazo hili
SEMINA KWA WAFANYA BIASHARA NA WAFANYA KAZI.

Je! Unatatizo la Kipato? Kipato chako hakitoshi.

Je! Unatatizo la Ajira? Hujui ujiajiri vipi.

Je! Una Biashara lakini hupati WATEJA wa kutosha? 

Katika Mafunzo haya ya Siku 7 Mfululizo Utajifunza Kwa Undani Kuhusu Njia za Uhakika Kutengeneza Kipato  , Namna ya Kudhibiti Matumizi Yako,Aina za Ujuzi kwa Biashara yoyote na Namna Ya Kufanya Biashara Mtandaoni na Mengine Mengi kama Yalivyo hainishwa katika Tangazo letu Hapo Juu.

Ndio maana SEMINA hii imekuja kwa ajiri yako, kwenye SEMINA hii utajifunza mambo yafuatayo chini ya walimu wako mahiri sana.

Mafunzo Haya Yatafanyika Katika Group La WhatsApp Chini Ya Udhamini Wa CITYMAX BOOKSHOP.

Kupata Mafunzo Haya Utalipia 25,000 tu Lakini Habari njema Ni Kwamba CITYMAXBOOKSHOP  wameshakulipia 15,001 kwa hiyo wewe Utalipia 9,999.( Elfu Tisa mia Tisa Tisini na Tisa TU.)
...
Pesa Ilipwe kwa +255 753 690 907 Patson Chaula.
...
Semina hii Maalumu kwa Watu 20 Tu ambao watadhaminiwa na CITYMAX BOOKSHOP.

Ukichelewa Kulipa/ Ukalipa baada ya Watu 20 kukamilika utalazimika kulipia 25,000 Kwani CITYMAXBOOKSHOP hawatakudhamini.
(Utajidhamini mwenyewe kwa Kulipa 25,000 Badala ya 9,999)

Mwisho wa Kulipa ni tarehe 25.02.2020. Ukichelewa hapo Utalipia 25,000 Badala ya 9,999.

Ndani Ya Seminar
Utapata vitabu zaidi Ya 20 BURE. ( Soft copy) Ili vikusaidie Kupata Maarifa Ya kuongeza Kipato chako, Kujiajiri na kuongeza mauzo na Masoko Katika Biashara Yako.

Baada ya Seminar utaendelea kupata Ushauri wa Bure kwa week 2 mpaka utimize MALENGO yako.
...
Lipia sasa hivi 9,999. Kwa
+255 753 690 907 Patson Chaula.

Vipi Kama sitaridhika na Mafunzo?Usijari KABISA pesa yako ipo Tumejipanga Vizuri mnoo ikitokea hivyo utarudishiwa Pesa yako yote haraka sana ndani ya siku 4 tu, na msamaha Juu ... Mafunzo utabaki nayo.( Hakuna unachopoteza)

Patson Chaula.
Mkurugenzi Mtendaji CITYMAX BOOKSHOP.

KARIBU SANA KWENYE SEMINA, UBORESHE MAISHA YAKO.


Chapisha Maoni

0 Maoni