TIMIZA MALENGO YAKO

*TIMIZA MALENGO YAKO.*


Ukweli ni kwamba, kila mtu anayo malengo ambayo anatamani na kutaka sana kutimiza malengo hayo.

Ukweli mchungu sasa ni huu hapa kwamba wachache sana ndio hufanikiwa kutimiza malengo yao huku walio wengi hushindwa kutimiza malengo yao.


Inawezekana hata wewe ni miongoni mwa wale walioshindwa kutimiza malengo yao huko nyuma. Je! Ungependa kujua mbinu walizotumia watu waliofanikiwa kutimiza malengo yao?


Mwandishi na Muhamasishaji Nguli Joel Nanauka, kwenye kitabu chake hiki cha "Timiza Malengo Yako" anatufundisha kwa kina sana mbinu 60 walizotumia watu maarufu kufanikiwa. 


Ushauri wangu kwako ni huu, Bado hujachelewa, amua kusoma kitabu hiki sasa na hakikisha unafanyia kazi yale utakayoyasoma, kwa hakika wewe pia utafanikiwa kutimiza malengo yako. 



Kitabu kinapatikana *CITYMAX BOOKSHOP.*

Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0753690907 au 0754086824


*CITYMAX BOOKSHOP.*

*Tunaboresha Maisha Yako.*


Tembelea website yetu (http://www.citymaxbookshop.mozello.com );

Facebook page yetu na Instagram account yetu kwa maelezo zaidi.


*Kujiunga na kundi letu la wasapu la CHUO CHA MAARIFA* *ili uweze kujifunza zaidi,  tutumie ujumbe wasapu kwa namba 0672134512*


*Kupata Huduma Zetu Za Ukocha,  Wasiliana Nasi Kwa Namba* 0672134512 au 0753690907


*KARIBU SANA CITYMAX BOOKSHOP.*

 

Chapisha Maoni

0 Maoni