Je, Umeteseka na Kisukari Kwa muda mrefu bila kupata matibabu? Sasa Siri yajulikana.

karibu sana ndugu msomaji wetu katika makala hii ya afya. Jitahidi usome mbaka mwisho ufahamu njia nzuri ya kupata tiba sahihi ya ugonjwa wa kisukari.


*UJUE UGONJWA WA KISUKARI (DIABETES).*
_________________

_Utangulizi_✍🏿.

Ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa unaosumbua watu wengi katika jamii.

Ugonjwa huu hutokea wakati sukari katika damu inapokuwa nyingi kupita kiwango cha kawaida kwa muda mrefu.

Sukari hutumiwa na mwili ili kupata nishati lishe.Kwa kawaida ili mwili uweze kutumia sukari inayotokana na vyakula unahitaji kichocheo cha insulini..

Insulini husaidia sukari kuingia kwenye chembechembe hai ili kutengeneza nishati lishe.

Ugonjwa wa kisukari unasababishwa na kichocheo hiki kupungua au kutofanya kazi Kama inavyotakiwa.

Hivyo kiwango cha sukari kinabaki kikubwa kwenye damu kwa sababu sukari haikuwezeshwa kuingia kwenye chembechembe hai za mwili.

*Kuna aina tatu za sukari:*

• Moja ni wakati kongosho imeshindwa kutengeneza insulini kiwango kizuri cha kudhibiti sukari mwilini

• Aina ya pili ni wakati mwili unakataa kudhibiti sukari hata insulini ikitengenezwa na kongosho.

• Aina ya tatu ya kisukari Ni Ile  ambayo huathiri wanawake wajawazito ambao hupata kwamba kiwango cha sukari miilini mwao kimekwenda juu hata kama hawana historia ya aina hii.

*DALILI ZA KISUKARI.*
-Baadhi ya dalili za kisukari ni :-
 *Kiu ya maji isiyoisha.
 *Njaa kali.
 *Kupoteza uzito bila sababu.
 *Kwenda haja ndogo mara kwa mara.
 *Vidonda au michubuko, kuchukua muda kupona.
 *Ngozi kuwa kavu na kuwasha.
 *Kuchoka kusiko kwa kawaida.
 *Hisia kupungua katika vidole na viganja vya mikono na miguu(ganzi).
 *Kukosa hamu ya tendo la ndoa.

*MADHARA YA KISUKARI*
Watu wenye kisukari wapo katika hatari zaidi ya kupata magonjwa yafuatayo:-
*Magonjwa ya moyo.
 *Kiharusi
 *Kuharibika kwa kibofu cha mkojo.
 *Upofu.
 *Kufa kwa mishipa ya fahamu.
 *Shinikizo la juu la damu.

-Mtu mwenye kisukari mzunguko wake wa damu miguuni hupungua na hii ndiyo sababu kubwa ya kufa kwa neva za fahamu na hivyo mtu kupoteza hisia katika mwili *(Ganzi).* Ila mwenye ugonjwa huu unatibika na akapona kabisa kwa tiba lishe na mimea


*TIBA YA KISUKARI.*

*TIBA ZA HOSPITALI*
🔘Hakuna dawa inayojulikana kuponya Kisukari moja kwa moja ila huwa tiba inayotolewa inalenga Kupunguza kasi ya ugonjwa kwa Kuondoa maumivu,Kudhibiti matatizo yatokanayo na ugonjwa na kurudisha utendaji kazi wa viungo.

*TIBA MBADALA*
🔘Kupitia  virutubisho vyetu vya pure and broken, zaminocal plus, micro2cyle,glucoblocker tea, na gucogone huweza kuondoa tatizo la kisukari na mgonjwa atapona kabisa endapo atatumia ndani ya siku 90
*MAELEZO TIBA*
*•Glugogone;* 
Vidonge hivi huisaidia Kongosho Kujizalishia Insulini Lenyewe.

*Kopo Moja Linaisha Baada ya Siku 10.*

*•GlucoBlocker Tea:* Husaidia Kusafisha Sukari inayoingia Mwilini kupitia Chakula, Huponyesha Beta Cell za kwenye Kongosho, Husaidia uzalishwaji wa Insulini.

*Kopo Moja Linaisha Ndani Ya Siku 20.*

*•Micro²Cycle:*
Kusafisha Mfumo Wa Damu na Kuusaidia Mfumo wote wa Damu kwa Kuondoa Sumu na Moyo, INI Figo kufanya kazi Sawasawa.

*Kopo Moja Linaisha ndani ya Siku 11*

*•Pure And Broken:* Kuisaidia Kinga ya Mwili Kupambana na Magonjwa, Kuupa Mwili Nguvu Na Kuponya Matatizo Sugu, pia Huondoa Sumu Mwilini na Kuponya haraka Vidonda Vinavyosababishwa na Magonjwa Kama KISUKARI Nk.

*Kopo Moja Linaisha Ndani Ya Siku 15.*

*Zaminocal plus*
hii inamchanganyiko wa amino acid, calcium pamoja na zink na huweza kumsaidia sana mgonjwa wa kisukari kuimarisha afya yake kwa ujumla.

*Kopo moja linatumiwa ndani ya siku 30*
👇👇👇👇👇👇👇
*KAMA UNASUMBULIWA NA TATIZO HILI NA UMEKATA TAMAA YA KUPONA KABISA TATIZO LAKO KARIBU SANA UPATE USHAURI PAMOJA NA TIBA NIPIGIE  SIMU NAMBA*
0719197319

Chapisha Maoni

0 Maoni