*PROGRAMME MAALUMU YA KUPUNGUZA UZITO/ UNENE*
Program hii imepewa jina maalumu na kufungashiwa virutubisho takribani vya aina nne tofauti vikiwa Vitano kwa idadi yake ndani ya kifungashio hiki Chenye jina *SUMA FIT*
Ndani ya program hii kuna virutubisho vinavyo msaidia mtu na kuwa chakula mbadala baada ya kupatikana na shida flani iliyopelekea kuwa na sumu , mafuta na uzito uliopitiliza
Pia program hii itakusaidia mambo kadhaa kama yafuatayo 👇
🟢 Kuondoa sumu mwilini
🟢 Kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini
🟢Kupunguza sukari iliyozidi mwilini
🟢 kukusaidia shida ya vidonda vya tumbo
🟢 Kukusaidia hali ya tumbo kuvurugika baada ya mlo flani
🟢 Kuusidia mwili kupata chakula bila kuzidisha mafuta na sukari vinavyopelekea unene ama uzito mkubwa kuliko kiwango cha BMI kinachostahili
*PROGRAM HII INA VIRUTUBISHO HIVI*?👇
● *Elements* (2)
- kirutubisho hiki kina vitamin na madini mhimu
- kinauwezo mara tatu ya kupambana na hali ya njaa ( triple satiety factor to curb hunger)
● Veggie veggie (1)
- Kirutubisho kwaajili ya kuondoa sumu mwilini
- Huboresha mmeng'enyo wa chakula
- Pia Husaidia kupunguza mafuta yaliyozidi mwilini
● Probio3 (1)
- Inaponesha majeraha katika tumbo hadi kwenye utumbo
-Husaidia kuunguza mafuta yaliyozidi kwenye tumbo
- Inaboresha mazingira mazuri ya tumbo tayari kwaajili ya virutubisho vingine kufanya kazi kiurahisi
-Huzuia kuzaliana kwa bacteria wabaya tumboni
● Ez xlim Tablets (1)
-Inarekebisha kiwango cha sukari kwenye damu
-Huunguza mafuta yanayozidi kwenye damu
-Husaidia mwili kupunguza kasi ya ufyonzaji wa mafuta na sukari mwilini
Hizi ni baadhi ya kazi ya virutubisho hivi kulingana na lengo letu la kupunguza uzito
*HATUA ZA KUPUNGUZA UZITO*
Utafiti ulifanyika juu ya utumiaji sahihi wa virutubisho ili kupunguza uzito bila kuacha madhara umezaa hatua nne kama zinavyo onekana hapo chini 👇
💧 *Kuondoa sumu*
💧 *Kutengeneza ama kuweka sawa mfumo wa chakula*
💧 *Kuzuia ufyonzaji wa mafuta, sukari inayozidi mwilini*
💧 *Kurekebisha utendaji kazi wa mwili na shughuli za metabolism.*
Kwa kufuata hatua hizi unapungua mpaka uzito unaouhitaji wewe ndani ya week nne kwa gharama nafuu kama utakosa mda wa kutumia vyakula na kufanya mazoezi ya kutosha .
*MATUMIZI YATAKUWAJE*?
1. ```SIKU 1-7```
▪︎ASUBUHI
- Veggie veggie pakiti mbili + maji ya vugu vugu kwenye 150ml
▪︎MCHANA
- Ez xlim vidonge vitatu ( 3) dakika 15 kabla ya kula
▪︎JIONI
- Element pakiti moja + maji ya vugu vugu kwenye 150ml
2. ```SIKU YA 8-28```
▪︎ASUBUHI
- Probio3 pakiti 1 + maji ya vugu vugu kwenye 150ml
▪︎MCHANA
-Ez xlim vidonge vitatu dakika 15 kabla ya chakula
▪︎JIONI
- Elements pakiti 1 + maji ya vugu vugu kwenye 150ml
Hapo program itakuwa imeisha kwa namna hiyo na utakuwa umepata suruhisho lako sahihi la kupunguza uzito.
*Kwa Ushauri Zaidi Tafadhari Fika Kwenye Kituo Chetu Cha Kutolea Huduma Kilichopo Mlimani City au Tupigie Kupitia.0719197319.*
0 Maoni