Ili ufanikiwe kama Mwanachuo Unapaswa Kujua na Kuzingatia Mambo Makubwa Matatu kwanza Ujue namna sahihi ya Wewe Kupanga Ratiba na Kuitumia Siku yako vizuri kwa Kuweka Vipaumbele sahihi, Pili Ujue namna ya Kutengeneza Fedha Ukiwa Chuoni na tatu Ujue namna sahihi ya kutunza fedha unazozipata hata Kama ni Kidogo ili zijekuwa Msingi wa Wewe Kujiajiri baada ya Masomo yako, ⭕ Sasa Darasa hili La siku 7 kwa 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏 Litajikita katika Maeneo Hayo Makuu 3 Ili kukufanya kuwa mwanachuo watofauti mimi ilinisaidia Ndo Maana leo Nimeweza Kujiajiri. . ⭕ Moja Kati ya sababu kubwa sana inayofanya wahitimu wengi Kuangaika Kupata Kazi au Kujiajiri Baada ya Masomo yao ni Kutojenga Misingi Thabiti Wakati wakiwa Masomoni au Kutokutambua na Kutumia Fursa ya wao Kuwa Chuo, Bila shaka Unakubaliana na mimi Katika hili. . ⭕ Bila kujali unataka Kuajiriwa au Kujiajiri Baada ya Kumaliza Masomo Yako Kuna Misingi Unaitaji Kuijenga Ukiwa Chuo na Ndio maana halisi ya Darasa Hili la Siku 7. . ⭕ Kumbuka Usipojiunga na Mafunzo haya hutajua namna sahihi ya Kutengeneza au Kutunza Fedha unazozipata ukiwa Chuo mwisho Hali hii itapelekea wewe Kuwa tegemezi na Kuangaika kutafuta ajira ambazo ni Changamoto sana. . ⭕ Kama unatamani kujua na Kuishi Kipaji chako ukiwa chuo, Kujua namna ya Kufanya Biashara na Kuuza Bidhaa/Huduma zako chuo, Kujua namna ya Kushinda soko la ajira kwa miaka ya sasa na Muhimu zaidi Kujua namna Ya Kujenga Misingi ya Kujiajiri Utapomaliza Chuo basi Darasa Hili sio la kukosa kwako. . ✍🏿 𝐉𝐢𝐮𝐧𝐠𝐞 𝐊𝐰𝐚 𝐓𝐬𝐡 10,000/= (𝐄𝐥𝐟𝐮 𝐤𝐮𝐦𝐢) 𝐭𝐮. . ✍🏿 Tutajifunza kwa Njia ya Sauti, Maandishi, Picha na Video. . ✍🏿 𝐍𝐁. . 👉🏿 Mafunzo Haya ni Kwa Njia Ya 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏 Kila siku Usiku Kuanzia 13 - 19 January (Hayata athiri Masomo yako kabisa). . 👉🏿 𝐔𝐤𝐢𝐣𝐢𝐮𝐧𝐠𝐚 𝐊𝐚𝐛𝐥𝐚 𝐲𝐚 𝐓𝐚𝐫𝐞𝐡𝐞 5 𝐔𝐭𝐚𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐎𝐅𝐀 𝐘𝐚 𝐊𝐮𝐣𝐢𝐟𝐮𝐧𝐳𝐚 𝐊𝐮𝐡𝐮𝐬𝐮 𝐅𝐞𝐝𝐡𝐚 𝐁𝐮𝐫𝐞, 𝐖𝐀𝐎𝐎𝐇 𝐔𝐧𝐚𝐩𝐢𝐭𝐰𝐚𝐣𝐞 𝐧𝐚 𝐎𝐅𝐀 𝐡𝐢𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐌𝐟𝐚𝐧𝐨. . 👉🏿 𝐏𝐈𝐆𝐀 𝐒𝐈𝐌𝐔 𝐒𝐀𝐒𝐀. #0744126640 au #0658503737 . @victor_mwambene . @foundationofsuccessacademy
0 Maoni