FAHAMU CHANZO CHA MVURUGIKO WA HOMORN NA SULUHISHO LAKE

 *AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE (HORMONE IMBALANCE)*

Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika.

Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.

Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya *miaka40 na 50,* lakini pia kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia *miaka14.* 

Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe, hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi.

Mvurugiko wa homini kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone.

Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.

*#VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI*

Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana na maisha wanayoishi, elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulingana na makundi ya damu. 

*Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni:-*

Uwepo wa sumu mwilini

Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)

Umri ukienda sana

Kukoma kwa hedhi

Kutofanya mazoezi, na kutokulala masaa anayostahili kwa siku

Uzito mkubwa

Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa

Msongo wa mawazo

Kula vyakula visivyo endana na Blood Group

Upungufu wa lishe mwilini

Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango

Utoaji wa mimba

Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)

Ongezeko ya homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti kama mwanaume)

Bara (Ethnicity):-

 Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile makubwa

*3. #DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONl*

Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu

Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele.

*Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni kama vile:-*

- Ukavu ukeni

- Maumivu wakati wa tendo la ndoa

- Kutoa jasho usiku

- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi.

- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa

- Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi *siku7.* (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)

- Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi

- Uchovu wa mara kwa mara

- Hasira za mara kwa mara

- Kukosa usingizi

- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara

- Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula

- Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe

- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)

- Maumivu ya viungo

- Upungufu wa nywele kichwani

- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)

- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)

- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea

- Mwili kutokukua, kuonekana kama binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi

- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini

- Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango

- Maumivu ya kichwa mara kwa mara

- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)

- Kutokupata choo kwa wakati

- Misuli hudondoka

*4. #MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONl*

Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.

Njia hizo husababisha saratani ya kizazi, CD4 kushuka, sehemu ya uke kuwa baridi, huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua, huathiri mtoto atakayezaliwa, huathri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria), kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.

Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi kama yafuatayo:-

Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu

Mimba kuharibika mara kwa mara

Kukosa mtoto au Ugumba

Maumivu wakati wa tendo la ndoa

Kuwa na tabia na maumbile ya kiume

UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara

Kuzeeka mapema

Kuziba kwa mirija ya uzazi

Sarata

ni

Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)

*5. #SULUHISHO*

*1. #Suluhisho Linalopendwa*

Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa huenda mahospitalini ambako hupewa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.

Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake kama kawaida

Lakini hupelekea madhara yaliyotajwa hapo awali (juu)

*2. #Suluhisho La kudumu*

Mvurugiko wa homoni unasababishwa mara nyingi na upungufu wa lishe, msongo wa mawazo, na uwepo wa sumu mwilini na hivi vyote ni vitu unavyoweza kurekebisha.

Kwa wanawake wenye changamoto ya mvuzugiko wa hormone mwilini, tuna virutubisho lishe muhimu

Virutubisho Vitokanavyo na Matunda na Mimea ; siyo dawa . Inasaidia kuweka sawa homone   ilikuboresha mfumo mzima wa uzazi, kuleta heshima ya ndoa maana uke utarudi katika hali yake ya asili (mnato na ute ute ukeni wenye kuleta msisimko wakati wa tendo la ndoa, na kupunguza kasi ya uzee). 

Sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo:- 

✓Vimbe zinazo jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, ✓Vidonda vya tumbo👆🏽👆🏽

Kwa msaada zaidi 

wa.me/+255719197319

Au wa.me/+255763132806



*WE CARE YOUR HEALTH*


Chapisha Maoni

1 Maoni